SHILINGI Ep 83

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 мар 2025
  • Subscribe kufuatilia tamthilia ya Shilingi kuanzia Mwanzo hadi Mwisho katika Channel hii.
    Comment kutuambia unachofikiria.
    Share na wenziyo wajue tuanze mwendo Episode zaidi ya moja kwa siku
    Like kuonyesha Love
    Mazuri mengi yanakuja Soon

Комментарии • 138

  • @Hadijadida
    @Hadijadida Год назад +26

    One love from kenya❤❤ wap team hamam,,, mida y kwake shilingi

  • @BiisheBugao
    @BiisheBugao Год назад +23

    Nzuri...ila nilikuwa na ombi kwa Roma.. tafadhalii naomba pale itakapoishia naomba ianzie apoo tuu...kuliko kuanzia nyuma kidgo na wakati iyo part tushaiona...sasa pale itakapoishia naomba mwendelezo uanzie apo tuu...maana inaanzia nyuma na n fupi sana wallahii...Jitahidini kwa ilo..

  • @IluMshana-ni8xf
    @IluMshana-ni8xf Год назад +10

    Kumbe mirambo alitumia teknik ya kijesh kujifanya amekufa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @maidoibaicaldaude4338
    @maidoibaicaldaude4338 Год назад +11

    Roma sikuizi unaboa sana mwanangu, hi filamu ni mzuli sana, Sasa ukitutumia mojamoja inakuwa sio fresh, Angalau 6 kwa siku...

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq Год назад +2

    Yaan atariii hii ki2 bg up sanaa wadau

  • @mwanamisi-jg6nx
    @mwanamisi-jg6nx Год назад +7

    One love from Kenya nampenda sna devid na maikol❤❤❤na Edna wetu

  • @fikirikiwike4909
    @fikirikiwike4909 Год назад +18

    Njooni episode ya 83 tayari hahaha

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث Год назад +5

    ❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂 ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote wana shilingi

  • @WILFREDKIRONSO
    @WILFREDKIRONSO Год назад +5

    One love from Kenya but kwa sai tuko kazi kwa mwarabu

  • @yunusmussa4374
    @yunusmussa4374 Год назад +40

    Leo wa kwanz nipen like zangu wadau wa shilingi

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 Год назад +2

    Kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana nyote nawapenda shalom

  • @PurityDida
    @PurityDida Год назад +4

    Wow! Shiling

  • @IluMshana-ni8xf
    @IluMshana-ni8xf Год назад +5

    Inasikitisha kuona mirambo analia😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @williamkabesse1989
    @williamkabesse1989 Год назад +3

    Wa kwanza au

  • @fatumamwayawe7598
    @fatumamwayawe7598 Год назад +4

    Much love from 254🇰🇪🇰🇪❤️❤️

  • @brendanawanga
    @brendanawanga Год назад +1

    Waau Leo nimefurahi xana mmenipa mingi nashukuru xana wacha owe hivyo hivyo tu msirundi mnatutolea stress ninawapenda xanaa 💋

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo Год назад +4

    Milambo yamekukuta umekula kichapo😂😂😂

  • @OmaryIssa-r6y
    @OmaryIssa-r6y Год назад +2

    ❤❤❤❤❤ shilingi inanitoa upweke jamn mmhhh

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de Год назад +5

    Nampenda mamaairen kwuko kuangalia kwako wanifurahisha sana 😂😂😂😂😂

  • @GalA13-e3x
    @GalA13-e3x Год назад +1

    Ha leo kal😂😂😂

  • @HwaUshy
    @HwaUshy Год назад +4

    😂😂😂😂😂😂 milambo yamemkuta

  • @FettyAlly-uw8yq
    @FettyAlly-uw8yq Год назад +2

    Jamani naombeni namba ya sajo na kaiko na pacha wake niwape zawadi zao na mama devd

  • @Smart7-b5e
    @Smart7-b5e Год назад +4

    Mama Irene hoyee 🎉🎉🎉🎉❤

  • @hasnatrean5013
    @hasnatrean5013 Год назад +3

    Jaman tunatak wakutan deved na maicko

  • @IluMshana-ni8xf
    @IluMshana-ni8xf Год назад +2

    Umekuja kunitowelea😂😂😂😂

  • @NaifinMohamed
    @NaifinMohamed Год назад +3

    Devid kiboko umemfungia Edina kimyaa😂😂

  • @mariamalt5964
    @mariamalt5964 Год назад +4

    watu mko vizur 😂😂😂

  • @princesskadzo181
    @princesskadzo181 Год назад +2

    1.2 view within 25 min lakini like 143 hii sio poaw asipotuma ywalalamika

  • @fadhirinigela9246
    @fadhirinigela9246 Год назад +4

    Leo 🦁🦁🦁 naminiko wa 30 bora

  • @EDWINNjoki-l6g
    @EDWINNjoki-l6g Год назад +2

    Kama kawa kama dawa nime fika

  • @Usherzigaseth-l3m
    @Usherzigaseth-l3m Год назад +5

    Hata Drc tunatizama, ila inakawa sana!!!

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 Год назад +3

    Mambo ya azidi kuwa tamu

  • @prettyney3812
    @prettyney3812 Год назад

    Huyu mau mbona yuko bize sana 😂😂😂😂😂 akiitwa mara moja haitiki mpaka aitwe mara mbili😂😂😂😂😂😂

  • @iddramadhan-e8i
    @iddramadhan-e8i Год назад

    Mpo vzr endelea kutuma

  • @abrahamanimtoy4707
    @abrahamanimtoy4707 Год назад +2

    Nmekuwa kwnz like znagu

  • @husnaibrahim2107
    @husnaibrahim2107 Год назад +6

    Ngoja niangalie nisubiri walio wai😂😂😂

  • @JumaKayan-kv3dz
    @JumaKayan-kv3dz Год назад +4

    Heee jaman watu wanawahi🤣🤣

  • @كامليا-ر7ز
    @كامليا-ر7ز Год назад +2

    Milambo pole😢😢😢😢

  • @SarahTsuma-w3v
    @SarahTsuma-w3v Год назад +3

    Ahsante dj❤❤ nmwahi mapema.🎉🎉

  • @BarakaMoshi-ov6mv
    @BarakaMoshi-ov6mv Год назад +4

    shilingi ❤🎉🎉🎉

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Год назад

    ❤❤❤❤pambeee shilingi shilingi

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 Год назад +2

    Shukran Sana Roma

  • @margaretdhahabu7486
    @margaretdhahabu7486 Год назад +2

    Jamani hadi nmeimiss ❤❤❤

  • @nelsongabriel6324
    @nelsongabriel6324 Год назад +1

    Yan toka asubuhi naingia RUclips nasubilia shilling but now ngoma imetiki twende kaz dj

  • @uytfjhii2138
    @uytfjhii2138 Год назад +2

    Leo wakuanza jameni muniurumie

  • @khadjaiddlis283
    @khadjaiddlis283 Год назад +2

    Tupe mwendelezo tunasubiri kwa hamu

  • @nadzuwamangale1186
    @nadzuwamangale1186 Год назад +1

    Mwendlz ❤❤❤❤❤

  • @MuhindoKahukula-ml9fz
    @MuhindoKahukula-ml9fz Год назад +2

    Nawapenda sana ise!!

  • @sitimwarakwe1830
    @sitimwarakwe1830 Год назад +3

    Dj asante sn lkni tuletee episode 84 please ❤

  • @jacksonkalinga1791
    @jacksonkalinga1791 Год назад +3

    Ata tunaboeka watu wa shilingi yani dj unafanya kma sisi sio wtu wko siku izi ep zenyewe fupi fupi zajirudi siulete angalu mbilimbli

  • @SaidDaudi-y5i
    @SaidDaudi-y5i Год назад +3

    Mimi ndo wakwanz jaman

  • @MariamAbuubakar-e5o
    @MariamAbuubakar-e5o Год назад +1

    Jamani nilijuwa mm wa kwanza😅😅

  • @sentsent1484
    @sentsent1484 Год назад +1

    Ongezeni dakika 30 imekuwa fupi mno ila ongereni kwa kazi nzuri

  • @ancillarneema
    @ancillarneema Год назад +1

    Hongera dj❤❤❤

  • @نجمةكينيا
    @نجمةكينيا Год назад +1

    leo kidogo nimekua wa karibu

  • @joshuakorir2003
    @joshuakorir2003 Год назад +3

    Devid Edina akijua wee sio mwenye anamjua haa kitakuramba

  • @usher_bambi94
    @usher_bambi94 Год назад +4

    Kwan ukishapew like unafaidika na nn mbn swaelewagi😂😂😂😂mtu analilia like kama hela😅😅😅😅 enewei ngoj Nile burudan na shilingi hapa na peps bariiiiiidiiiii

    • @IluMshana-ni8xf
      @IluMshana-ni8xf Год назад

      Sasa cha ajabu utakuta mwanaume analilia like😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @usher_bambi94
      @usher_bambi94 Год назад

      ​@@IluMshana-ni8xfni masikitiko ndugu yang 😅😅😅

    • @usher_bambi94
      @usher_bambi94 Год назад

      ​@@salmsalmo931 Sasa ndio mlilie like😂😂😂😂😂

    • @IluMshana-ni8xf
      @IluMshana-ni8xf Год назад

      @@salmsalmo931 raha ni kufuatilia hii picha na ku comment kilichokuvutia au kukosoa kilichokukera. Sasa kuomba like ndio raha?😂😂😂😂😂😂

    • @salmsalmo931
      @salmsalmo931 Год назад

      @@usher_bambi94 mm jaman mjanielewa sijasema kuomba like ni Raha ulivyoandika unakula burudan na shilingi na pepsi baridiiii nikasema Raha jipe mwenyewe ukisubir kupewa utangonya sana mm hizo like za nn?sijawahi kuomba na Wala sitoomba

  • @AishaMunga-wn3pd
    @AishaMunga-wn3pd Год назад +1

    Jamani mzee kijana kakandwa kama chapati 🤣🤣🤣🤣tuko pamoja mashabiki wa shilingi

  • @catherinegesare8596
    @catherinegesare8596 Год назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @sultanbashir8377
    @sultanbashir8377 Год назад +2

    Wakwanza kuangalia shiling

  • @MarkMnyama-fe4it
    @MarkMnyama-fe4it 11 месяцев назад

    Kila nikimuona milambo nacheka Sana et badala yakusema nimepigwa anasema nimepaliliwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @IluMshana-ni8xf
    @IluMshana-ni8xf Год назад

    Sasa kwa hiyo hao watu waliokufumua unawafaham😂😂😂😂😂😂😂 kumbe mzee wa taikondo walimfumua bwana

  • @devmwalabu3193
    @devmwalabu3193 Год назад +1

    Jaman watu mko fasta

  • @talzbukky8822
    @talzbukky8822 Год назад +2

    Jamani nawauliza hivii...kwan mirambo hana kwake?

  • @geofreymelchiad-vo5mf
    @geofreymelchiad-vo5mf Год назад +1

    Leo nimewahi Sana hata mm 😅😅😅😅😅

  • @beproductive839
    @beproductive839 Год назад +7

    Hellooooo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍 jaman za kwangu like 👍👍

  • @Almas92mwarabu01
    @Almas92mwarabu01 Год назад +1

    Tumekujaaaaaaaaaaaa

  • @Yusco_Rhynova
    @Yusco_Rhynova Год назад +2

    Bravo🏆

  • @jechoniahcedrics4645
    @jechoniahcedrics4645 Год назад +2

    Wakwanza ndo mm sasa wadau

  • @rizikikazi3221
    @rizikikazi3221 Год назад +1

    Leo nimewai 🎉🎉🎉

  • @eliassimonebalenha7892
    @eliassimonebalenha7892 Год назад +4

    Like zangu

  • @mwanaidisaidi9003
    @mwanaidisaidi9003 Год назад

    Mm nimepata kuchelewa

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 Год назад

    Mwenyekiti mtarajiwa kafanywa chapati sema mungu alimuhurumia lkn tungekuwa twazungumzia habari nyengine

  • @OliverAndrew-ob1vn
    @OliverAndrew-ob1vn Год назад

    Mzee mkude acha ukatili

  • @RehemaMbwana-m3w
    @RehemaMbwana-m3w Год назад

    Mwendelezo pris dj

  • @PaulJulius0767
    @PaulJulius0767 Год назад +2

    0:59 ❤❤❤❤

  • @mwanaharusichizikalama7790
    @mwanaharusichizikalama7790 Год назад +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wakumi na mmoja like zangu hapo chini 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fadhilatoba
    @fadhilatoba Год назад +1

    Much ❤❤❤❤

  • @shumeyahamisi2053
    @shumeyahamisi2053 Год назад

    Fupi mno.anyway thanks

  • @MamyRahma
    @MamyRahma Год назад

    Hivi vipande virefu Sanaa vya mirambo vinaboa

  • @ChrisantChrisant-h2j
    @ChrisantChrisant-h2j Год назад +2

    Leo nami nmewai 68

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Год назад +1

    Airini jamani unavo muangaliya mwenye kiti mtarajiwa

  • @janerosejuma5840
    @janerosejuma5840 Год назад

    Penda wewe Sana DJ

  • @fayassanitunga6878
    @fayassanitunga6878 Год назад +2

    Asante dj ❤❤

  • @dorothykawira-l2x
    @dorothykawira-l2x Год назад

    Nakwani hiyi uchaguzi ifiki tuone mshidi n nani😂

  • @salomepaul4543
    @salomepaul4543 Год назад

    Dj lete vituuuu

  • @jechoniahcedrics4645
    @jechoniahcedrics4645 Год назад +1

    Tumeni 84 plz ii series ni noma sana

  • @SundaDavd-wf5rc
    @SundaDavd-wf5rc Год назад +1

    Wametisha kwel ani

  • @aswaneliphas2271
    @aswaneliphas2271 Год назад +1

    OG nembo wa mtaa from Kenya

  • @rehemaabdullah7606
    @rehemaabdullah7606 Год назад +1

    Mzee Mirambo bhana😂😂😂

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de Год назад

    Wasema Mzee mirambo umeundwa kiswsw 😂😂😂😂😂😂😂

  • @aziza9093
    @aziza9093 Год назад

    😂😂😂 mirambo

  • @danielilukumaymasaimolele446
    @danielilukumaymasaimolele446 Год назад

    Sasa kama dj anazungua nanyinyi simtuletee yenu tuangalie

  • @josephsafari235
    @josephsafari235 Год назад

    Niko ndaaan ndaaan

  • @raphaelsimiyu7601
    @raphaelsimiyu7601 Год назад

    Roma unaudhi siku hizi mbna unatuchanganya

  • @louiseruru8812
    @louiseruru8812 Год назад

    Unadutiy uroho kweri

  • @فطومفاطمه-ش2و
    @فطومفاطمه-ش2و Год назад

    Kidogo tu nilie nimesubiriq mpka basi asanteni sana kwq muendelezo nawqpenda mno❤

  • @ShSh-q9j
    @ShSh-q9j Год назад +1

    Hapa hakuna Michael na devid kikutana kwajinsi nilivyoisoma hii shilingi

  • @estherjuma6358
    @estherjuma6358 Год назад

    Dj Asante

  • @abrahamanimtoy4707
    @abrahamanimtoy4707 Год назад +1

    NAOMBEN like uwiiiiiiii